Dj khaled afikiria kufanya kolabo Burna Boy

Dj khaled afikiria kufanya kolabo Burna Boy

Inadaiwa kuwa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #DJKhaled amepanga kumshirikisha msanii kutoka #Nigeria, #BurnaBoy kwenye Album yake ijayo ya 'Til Next Time' iliyopangwa kuachiwa mwaka 2024.

Katika mahojiano na #Jeff Ihaza wa #RollingStone, #DJKhaled alifichua kuwa hivi karibuni amekuwa akivutiwa na mwanamuziki huyo wa #Afrobeats, na kuongeza kuwa anampango wa kumshirikisha katika album yake mpya.

Mpaka sasa #DJKhaled hajaweka wazi tarehe rasmi ya kuachia album hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags