Calm Down remix yaendelea kung’ara

Calm Down remix yaendelea kung’ara

Remix ya wimbo wa msanii kutoka Nigeria, #Rema aliyo mshirikisha #SelenaGomez, ya ‘Calm Down’ imefikisha jumla ya watazamaji milioni 701 mjini #YouTube.

Wimbo huo ambao uko kwenye #YouTube Chanel ya #SelenaGomez yenye #Subscribe zaidi ya milion 34, Ikiwa ni ndani ya mwaka mmoja tu tangu wimbo huo uachiwe.

Huku Original ya wimbo huo ukiwa na views milioni 545 kwenye #YouTube Chanel ya #Rema.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags