Rick Ross na Meek Mill watanguliza Tracklist ya Albumu yao

Rick Ross na Meek Mill watanguliza Tracklist ya Albumu yao

Wanamuziki kutoka nchini #Marekani, #RickRoss na #MeekMill wameachia Tracklist ya Albamu yao ya pamoja 'Too Good to Be True' ambayo itatoka rasmi Ijumaa, Novemba 10 mwaka huu.

Jumla ya nyimbo 17 zitapatikana humo huku Future, DJ Khaled, Teyana Taylor, Jeremih, Vory, The-Dream, Fabolous, French Montana, Wale na wengine wakiwa wameshirikishwa.

Ikumbukwe kuwa albamu hiyo itakuwa ya kwanza kwa wasanii hao tangu mwaka 2021, kwani Meek albamu yake ya mwisho ilikuwa ‘Expensive Pain’ iliyotoka mwezi Oktoba 2021 na ikafuata ya Ross Ross ‘Richer Than I Ever Been’ mwezi Desemba 2021.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags