Kim azungumzia mtindo wa maisha wa Kanye West

Kim azungumzia mtindo wa maisha wa Kanye West

Mwanamitindo na mfanyabiashara Kim Kardashian, ameeleza kuwa aliyekuwa mume wake Kanye West kwa sasa amebadilisha mtindo wake wa kuishi.

Kim ameyasema hayo kupitia kipindi chao kipya cha The Kardashians wakati yeye na dada yake Kourtney wakiongea kuhusiana na maswala ya malezi ya watoto, Kim amedai kuwa mume wa zamani Kanye West kwa sasa amebadilika na amechagua kufanya hanasa kidogo na kuzidisha muda wa kukaa na binti yao North West.

Huku mwanamitindo huyo akidai kuwa kwa sasa binti yake anafurahia sana kupata muda mwingi wa kukaa na baba yake.

Kim Kardashian, ameendelea kuupiga mwingi katika bland yake ya SKIMS baada ya kuingia mkataba wa kutengeneza nguo za ndani na NBA.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags