22
Kim Kardashian ageukia kwenye sheria
Mfanyabiashara na mwanamitindo maarufu Marekani amesema sasa ni wakati wake kutimiza ndoto yake ya kuwa mwanasheria.Kim ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram k...
16
Kanye West akabiliwa na mashtaka ya unyanyasaji
Mwanamuziki kutoka Marekani Kanye West anakabiliwa na madai ya kumfanyia unyanyasaji wa kijinsia aliyekuwa meneja wake aitwaye Murphy Aficionado kwa kumtumia picha za utupu za...
15
Kim Kardashian: Naenjoy kuwa Single
Mfanyabiashara kutoka Marekani Kim Kardashian amefunguka kuwa kwa sasa hana mpango wa kuingia kwenye mahusiano kwani anaenjoy kuwa single.Kim ameyasema hayo wakati alipokuwa k...
06
Mastaa waliojitokeza kwenye tamasha la Michael Rubin
Mastaa katika Nyanja mbalimbali wamejitokeaza katika tamasha linalofanyika kila mwaka ambalo linaandaliwa na mfanyabiashara mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Fanatics, juk...
05
Mama Kim Kardashian afanyiwa upasuaji
Baada ya mfanyabiashara na mama mzazi wa Kim Kardashian, Krish Jenner kudai kuwa anatatizo la kiafya, sasa mwanamama huyo ameweka wazi kuwa kutokana na tatizo hilo amefanyiwa ...
30
Kanye West aomba msaada kwa Kim Kardashian
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #KanyeWest ameomba msaada kwa aliyekuwa mke wake #KimKardashian baada ya kutokuwa na maelewana na kampuni ya Adidas. Imeripotiwa kuwa msani...
05
Mama Kama Mtoto
Baada ya mtoto wa Kim Kardashian, North West kushambuliwa kupitia mitandao ya kijamii akifananishwa na kifaranga kupitia vazi lake la manyoa, sasa ni zamu ya mama yake kuzodol...
10
Bieber na mkewe watarajia kupata mtoto
Mwanamuziki maarufu kutoka Canada Justin Bieber na mkewe Hailey wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka saba.Wawili hao wameweka wazi s...
02
Kim Kardashian amalizana Beckham Jr
Mwanamitindo na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani #KimKardashian amedaiwa kuachana na mwanasoka Odell Beckham Jr baada ya kutoonekana naye pamoja hivi karibuni. Kwa mujibu...
17
Hizi hapa brand zinazomiliki na Kardashian family
Familia maarufu kutoka nchini Marekani ‘Kardashian Family’ licha ya kupata umaarufu katika ‘Reality show’ yao lakini pia imepata mafanikio makubwa kati...
03
Party iliyokuwa ikiwakutanisha ma-staa yahairishwa
Party iliyokuwa ikifanyika siku moja kabla ya Tuzo za #Grammy ambayo ilikuwa ikiongozwa na #Jay-Z na Roc Nation kwa lengo la kuwakutanisha ma-staa mbalimbali haitofanyika mwak...
01
Kanye na Kim Kardashian wakaa meza moja
Hatimaye #KanyeWest na #KimKardashian wameonekana mgahawani wakipata chakula cha jioni na mtoto wao North, akiwa na marafiki zake ambao walivaa nguo zenye jina la Albamu mpya ...
19
Huu ndiyo muonekano wa ofisi ya Kim Kardashian
Mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kim Kardashian ameonesha sehemu mbalimbali za ofisi yake, ambapo moja ya kitu anachokithamani ni mdoli (mannequin) aliyetengenezwa kwa vi...
27
Kim Kardashian ageukia kwenye uchekeshaji
Mfanyabiashara kutoka nchini #Marekani, #KimKardashian anatarajia kuonekana katika filamu za vichekesho (Komedi) baada ya kupendezwa na uigizaji huo. Mwanadada huyo mwenye umr...

Latest Post