Dna yamponza Asamoah

Dna yamponza Asamoah

Aliyekuwa nahodha wa ‘timu’ ya Taifa ya #Ghana, #AsamoahGyan, ameamriwa na mahakama kulipa fidia ya kuwakataa watoto wake na kumlipa aliyekuwa mkewe #GiftyGyan nyumba mbili, kituo cha mafuta na magali mawili.

#Asamoah na mkewe wamekuwa kwenye vita vya kisheria kwa miaka mitatu, kufuatia na madai ya mwana-soka huyo kutokuwa mwaminifu kwa mkewe kwa kudai kuwa huenda watoto walio wapata pamoja sio wake.

Aidha mchezaji huyo aliamriwa na mahakama kufanya vipimo vya #DNA dhidi ya madai hayo, ambapo kufuatia vipimo hivyo #Asamoah alitambulika kuwa baba halali wa watoto hao watatu, hivyo kuamriwa kulipa fidia hiyo mara moja.

#Asamoah na #Gifty walifunga ndoa miaka 10 iliyopita na kupeana talaka Oktoba 31 mwaka huu huku wakibahatika kupata watoto watatu.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags