Victoria apata mtoto akiwa na umri wa miaka 51

Victoria apata mtoto akiwa na umri wa miaka 51

Mwanahabari kutoka nchini #Uingereza, Victoria Coren Mitchell, mwenye umri wa miaka 51,  amejifungua mtoto wake wa pili na mume wake David mwenye umri wa miaka 49.

Victoria Coren Mitchell na mumewe David wametangaza kupata mtoto wao wa pili wa kike siku ya jana kupitia mtandao wa X (Twitter), jambo hilo  limewashangaza wengi  kutokana na umri wa mwanamke huyo, na  wengi wametoa pongezi juu ya ujio wa mtoto huyo wa pili kwa Victoria.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags