Hamisi wa BSS: Dar ukiwa na akili timamu uta lala na njaa

Hamisi wa BSS: Dar ukiwa na akili timamu uta lala na njaa

Mwanamuziki wakizazi kipya nchini #HamisiWabss amedai kuwa katika jiji la Dar es salaam mtu ukijiweka katika nafasi ya kujifanya una akili timamu unaweza ukalala na njiaa.

Akizungumza na chombo cha habari nchini Hamisi ameelezea yeye hajali kile kinacho zungumzwa na watu kuhusu namna ya uvaaji wake na akidai kuwa ukiwa Dar es salaam ukijifanya unaakili timamu utalala na njaa.

Hamisi hivi karibuni ameonekana akivalia mavazi ya utofauti ambayo yanawashangaza mashabiki zake, wapo wanao mkosoa na wanao msifia.

Mwanamuziki huyo aliwahi kushiriki mashindano ya utafutaji wapaji Bongo Star Search mwaka 2019.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags