Ngannou ataka pambano na Tyson lirudiwe

Ngannou ataka pambano na Tyson lirudiwe

Siku chache zimepita baada ya pambano la bondia kutoka #Cameroon Francis Ngannou na Tyson Fury kufanyika huku #Tyson akiondoko na mkanda, bondia #Ngannou ametaka pambano hilo kurudiwa.

Ngannou alifanya mahojiano na #TMZ na kuweka wazi kuwa jambo analolihitaji kwa sasa ni kurudia pambano na Tyson haraka iwezekanavyo na yuko radhi kughairisha mapambano yote aliyonayo ili arudiane na #Tyson.

Pambano hilo la raundi 10  lililofanyika Oktoba 20, 2023 nchini Saudi Arabia ambapo #TysonFury alishinda kwa point.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags