Mr Eaz kumshitaki mwandishi kwa kumchafua jina

Mr Eaz kumshitaki mwandishi kwa kumchafua jina

Nyota wa muziki kutoka nchini #Nigeria Mr Eazi anadaiwa kumtishia mwandishi wa habari wa X (Twitter) kutoka nchini humo #zobathegreat  kumchukulia hatua za kisheria kwa kumchafulia jina lake.

Hayo ni baada ya mwandishi huyo kuingia katika mtandao wa X na kutaja thamani ya msanii huyo kuwa ni $5M ambayo ni zaidi ya tsh 12 bilioni na alioa kimya kimya harusi ya kimasikini.

Mwanamuziki huyo ambaye kwa sasa ametoa wimbo wake mpya wa ‘Exit’ aliowashirikisha Soweto Gospel Choir ukiwa na siku nane tangu utoke.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags