Mlinzi wa msanii Trey jela mwaka mmoja

Mlinzi wa msanii Trey jela mwaka mmoja

Bodyguard wa mwanamuziki wa R&B kutoka nchini Marekani Trey Songz, Cornell Whitfield amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kumpiga shabiki nchini Dubai.

Inaelezwa kuwa mlinzi huyo alimpiga shabiki huyo baada ya kutaka kumdhuru mwimbaji Trey mwezi Machi walipokuwa hotelini nchini Dubai.

Aidha kufuatia tukio hilo baadhi ya watu mbalimbali akiwemo Tiny ameonekana akihamasisha watu kumchangia ili aweze kutoka gerezani kwa dhamana ambapo inatakiwa dola 60k.

Ikumbukwe mlizi huyo aliwahi kufanya kazi na mastaa mbalimbali kama vile Lil Kim, Trevon Digg na mwengineo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags