‘Rapa’ The Girl JT afikiria kubadili jina

‘Rapa’ The Girl JT afikiria kubadili jina

‘Rapa’ kutoka Marekani ThegirlJT amefikiria kubadili jina lake la sasa hivi.

JT ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa X baada ya kuandika kuwa anafikiria kubadili jina lake la ‘rapa’ lakini aliacha swali kwa mashabiki zake kwa kuuliza kuwa wanadhani kwa nini abadili jina hilo.

Huku baadhi ya watu maarufu akiwemo Amaya amemshauri msanii huyo kuwa inabidi abadili jina kwasababu jina hilo haliwezi ku-trend kwa sababu ni herufi mbili kwahiyo ni sawa yeye kubadili jina.

ThegirlJT anatamba na ngoma zake kama Wigs, ‘What you want’, ‘Good Love’ alio mshirikisha Usher na nyinginezo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags