Mchezaji wa zamani wa Man U, Gerard aanguka jukwaani

Mchezaji wa zamani wa Man U, Gerard aanguka jukwaani

Mchezaji wa zamani wa ‘timu’ ya taifa ya Uhispania na ‘klabu’ ya Manchester United, Gerard Pique ameanguka jukwaani akiwa kwenye hafla.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo Pique alianguka jukwaani wakati akiwa katika hafla ya uzidunzi wa mashindano mapya ya kandanda alipokuwa akielekea ‘kusaini’ jezi ya shabiki.

Aidha inaelezwa kuwa mchezaji huyo hajadhurika popote na aliendelea ‘kusaini’ mashati ya mashabiki wake baada ya tukio hilo.

Gerard Pique aliwahi kuchezea ‘vilabu’ mbalimbali ikiwemo, Barcelona's, Manchester United na nyinginezo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags