Chris Brown afunguliwa mashitaka

Chris Brown afunguliwa mashitaka

Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la #AbeDiaw amemshitaki mwanamuziki #ChrisBrown kwa madai ya kumpiga na chupa kichwani mwezi #Februari, katika club ya #Tape nchini #Uingereza.

Kwa mujibu wa #TMZ inaeleza kuwa kufuatia na ‘kesi’ hiyo #Diaw anadai #Chris alitumia chupa kama silaha na kumpiga kichwani na kusababisha kupoteza fahamu (kuzimia).

Aidha mshitaki huyo amedai kuwa polisi jijini #London wana video na ‘picha’ zikimuonesha #Chris akimpiga mtu huyo hivyo basi anamshitaki msanii huyo kwa ajili ya fidia.

 Kwa upande wa mwanamuziki huyo hajazungumza chochote kuhusiana na tukio hilo mpaka sasa.

.

.

#mwananchiscoop

#burudikanasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags