UFC kuitaka ‘saini’ ya Michael Page

UFC kuitaka ‘saini’ ya Michael Page

Inadaiwa kuwa ‘kampuni’ya inayo husika na maswala ya ngumi, UFC ikotayari kupata ‘saini’ ya mwanamichezo wa boxer kutoka nchini Uingereza, Michael Page 'Venom' baada ya mkataba wake na Bellator kuisha.

Kwa mujibu wa Daily Mail News inaeleza kuwa Rais wa kampuni hiyo Dana White amekuwa akitafuta ‘saini’ ya mchezaji huyo na kusema kuwa kampuni hiyo inania ya kumpa mkataba mchezaji huyo.

Michael mwenye umri wamiaka 36 amewahi kupata record ya ushindi katika mapigano 12 akiwa Bellator.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags