Zuchu apoteza ‘begi’ lenye vitu vya show

Zuchu apoteza ‘begi’ lenye vitu vya show

Mwanamuziki wa bongo Fleva #Zuchu amedai kuwa amepoteza ‘begi’ ambalo aliweka vitu vyake vyote kwa ajili ya show leo usiku nchini #Rwanda.

Kupitia #InstaStory yake #zuchu ameandika
“Niko Rwanda nimepoteza bag lenye kila kitu cha show yangu ya leo ya Trace Award kuanzia mimi mpaka dancers najaribu kutafuta namna ya kuziba pengo ila mniombee, trying to stay positive”

#Zuchu anatarajia kutumbuiza usiku wa leo katika #TraceAward2023 nchini #Rwanda ambapo Tuzo hizo zimewakutanisha mastaa kutoka mataifa mbali mbali kama vile, #Rema, #Davido, #Diamond nk.
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags