Lingard aendelea kukoshwa na ‘Shuu’ ya Diamond

Lingard aendelea kukoshwa na ‘Shuu’ ya Diamond

Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya #England na ‘klabu’ ya #Ettifaq kutoka Saudi Arabia, #JesseLingard ameendelea kukoshwa na wimbo wa mwanamuziki #Diamond wa ‘Shuu’ aliomshirikisha #ChleyNkos.

Kupitia #Snapchat yake alionekana akiimba wimbo huo wakati akiwa kwenye mapumziko katika #hotel huku akionesha kukoshwa na vibe la wimbo huo.

Hii si mara ya kwanza kwa mchezaji huyo kuskiliza wimbo huo miezi kadhaa iliyopita kupitia #Snapchart yake kwa mara ya kwanza ali-share wimbo huo akionesha kuukubali.

#Lingard katika historia yake ya soka alishawahi kuchezea vilabu maarufu kama vile #ManchesterUnited, #NottinghamForest, #West HamUnited.










Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags