Blueface amchumbia Jaidyn

Blueface amchumbia Jaidyn

Baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu, hatimaye ‘rapa’ kutoka nchini Marekani #Blueface amemvisha pete mzazi mwezie Jaidyn Alexis.

Wawili hao wametangaza uchumba wao baada mara tu baada ya kuvishana pete.

Blueface na Jaidyn Alexis wamebahatika kupata watoto wawili, hata hivyo ‘rapa’ huyo anatamba na vibao vyake kama ‘Hello’, ‘One time’, ‘TikTok’ nk.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags