Polisi wamuwa chini ya ulinzi promota wa Naira Marley

Polisi wamuwa chini ya ulinzi promota wa Naira Marley

‘Promota’ wa mwanamuziki Naira Marley , Sam Larry awekwa chini ya ulinzi mara baada ya kurudi nchini Nigeria kwa ajili ya uchunguzi unaoendelea kuhusiana na kifo cha MohBad.

Msemaji wa jeshi la polisi Lagos, SP Benjamin Hundeyin amethibitisha taarifa hiyo kupitia ukurasa wa X kwa kuandika

“Balogun Eletu maarufu kama Sam Larry sasa yupo chini ya ulinzi wetu, kusaidia uchunguzi unaoendelea”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags