Mwakinyo: Nina asilimia 5 tu za kupanda ulingoni

Mwakinyo: Nina asilimia 5 tu za kupanda ulingoni

Bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo ameendelea na msimamo wake wa kutopanda ulingoni kutokana na sakata lake la kutofautiana katika makubaliano na ma-promota.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameendeleza msimamo huo kwa kuandika

“Maswali na simu zimekua nyingi, kiukweli mpaka sasa nina asilimia 5% tu za kupanda ulingoni ikiwa zitaongezeka ni mimi mwenyewe nitasema naomba tuwe wavumlivu epuka matapeli…msimamo ni mmoja tu kama mogadishu. kwa kitendo hichi naomba!! huu ndio uwe mwisho wa mapromoter dhulma wahuni wadanganyifu na matapeli”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags