Ty Dolla na Kanye watangaza siku ya kusikiliza album yao

Ty Dolla na Kanye watangaza siku ya kusikiliza album yao

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #TyDollaSign na #KanyeWest watangaza kufanya onesho la usikilizaji wa album yao mpya unao tarajia kufanyika Novemba 3 mwaka huu 2023.

Licha ya kutoa tamko hilo tarehe rasmi ya kuachia album hiyo haijatangazwa ambapo ilitakiwa itoke tangu Oktoba 13 mwaka huu lakini kutokana na wasambazaji wengi kuikwepa kuisambaza album hiyo.

Ikumbukwe hivi karibuni album hiyo ili gomewa kusambazwa na ‘lebo’ mbambali nchini humo kwasababu ya kauli tata za Kanye dhidi ya wayahudi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags