Rick Ross awashauri mashabiki kuchagua kukutana na Jay Z

Rick Ross awashauri mashabiki kuchagua kukutana na Jay Z

Baada ya Jay Z kuwashauri watu kuchagua pesa kuliko kuonana na yeye, kwa upande wa ‘rapa’ kutoka Marekani Rick Ross imekuwa tofauti kwake ameeleza ni bora kupata chakula cha jioni na Jay utapata maarifa zaidi.

Kufuatia video yake alioi-share katika Instagram yake ‘rapa’ huyo ameeleza kuwa yeye atachagua kupata chakula cha usiku na Jay Z kuliko kuchukua Billion 1.

Rick ameeleza sababu ya kuchagua kupata chakula na rapa huyo ni kuwa mwaka 2008 Jay Z alimpa ushauri na kumsaidia kupiga hatua nyingine kubwa katika uandishi wa nyimbo zake.
.
.
.
#MwananchiScoop.
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags