Rema: Huyu ndio Rais wa kwanza kukutana nae

Rema: Huyu ndio Rais wa kwanza kukutana nae

Baada ya kuhudhuria katika Tuzo za Trace nchini Rwanda Mwimbaji wa Afrobeat kutoka Nigeria Rema alikutana na raisi wa nchi hiyo Paul Kagame na kuweka wazi kuwa ndio raisi wa kwanza kukutana nae.

“Kiukweli huyu ndio rais wa kwanza kukutana nae katika maisha yangu, sijawahi hata kuonana na rais wangu”

Rema alifanikiwa kuondoka na tuzo mbili moja ikiwa ni ya Msanii bora wa Afrika Kimataifa na ya pili ya wimbo bora wa mwaka ‘Calm Down’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags