Nasty C: Hakuna msanii anaye nizidi kuandika

Nasty C: Hakuna msanii anaye nizidi kuandika

‘Rapa’ kutoka #AfrikaKusini, #NastyC amedai kuwa hakuna ‘rapa’ kutoka Afrika anaye mfikia kuandika na kutunga mashairi.

Akiwa katika mahojiano na LTidoPodcast amesema kuwa bado hajaona ‘rapa’ anaye andika zaidi yake Afrika, huku akimtaja #JayZ na #Drake kuwa huwenda wakamzidi kuandika nyimbo hizo za hip-hop.

Mwanamuziki huyo mwenye umri wamiaka 26 anatamba na wimbo wake wa ‘She's Gone & The End’ alioutoa mwezi mmoja uliopita.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags