Ngoma ambayo imembeba mwanamuziki kutoka Marekani Kendrick Lamar mwaka 2024 ya ‘Not like Us’ imetajwa kufikisha wasikilizaji bilioni 1.Mtandao wa Spotify umetangaz...
Rapa kutoka Marekani Drake amewachana watu wake wa karibu waliyomkataa wakati wa bifu lake na msanii mwenzake Kendrick Lamar.Drake amewatolea uvivu watu hao kupitia wimbo aliy...
Wanamuziki wa Hip Hop ambao walitawala vichwa vya habari duniani kote Drake na Kendrick Lamar wametajwa kuwa ndio wasanii wa Rap walioingiza mkwanja mrefu zaidi mwaka 2024.Kwa...
Mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy Combs ambaye amezuiliwa katika gereza la MDC Brooklyn, lililopo jijini New York ametajwa kuwa msanii aliyetafuta zaidi kwa mwaka 2024 kw...
Rapa Drake ameripotiwa kuishitaki mitandao ya kuuzia muziki Universal Music Group (UMG) na Spotify kufuatia na wimbo wa Kendrick Lamar.Kwa mujibu wa Billboard, Drake amechukua...
Rapa kutoka Marekani Future amedai kuwa hafahamu chochote kuhusu bifu la Kendrick Lamar na Drake.Future ameyaeleza hayo wakati alipokuwa kwenye mahojiano na GQ ambapo amefungu...
Na Asma Hamis Mwaka 2024 umeleta mafanikio makubwa kwa wanamuziki wengi wa rap duniani, huku baadhi yao wakivunja rekodi za kusikilizwa zaidi kwenye mtandao wa Spotify.Wa...
Rapa kutoka Canada, Drake ameonekana kuwa na ukaribu zaidi na mtoto wake wa kiume aitwaye Adonis licha ya kutengana na mama wa mtoto huyo Sophie Brussaux.Kupitia ukurasa wa In...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Burna Boy anatarajia kutoana jasho na ma-rapa wakubwa kutoka Marekani katika tuzo za BET Hip Hop za mwaka 2024.Kupitia tuzo hizo zinazotarajia...
Kampuni ya Meta inayojihusisha na mitandao ya kijamii pamoja na kampuni inayoongoza duniani kwa kutoa burudani ya muziki 'Universal Music Group (UMG)' zimeingia makubaliano ma...
‘Rapa’ Drake ameonesha furaha yake baada ya mkali wa Dancehall kutoka Jamaica, Adidja Palmer ‘Vybz Kartel’ kuachiwa huru kutoka jela baada ya kusota kw...
Mastaa katika Nyanja mbalimbali wamejitokeaza katika tamasha linalofanyika kila mwaka ambalo linaandaliwa na mfanyabiashara mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Fanatics, juk...