Cr7 amzawadia bondia Ngannou saa ya thamani

Cr7 amzawadia bondia Ngannou saa ya thamani

‘Fowadi’ kutoka ‘klabu’ ya #AlNassr #CristianoRonaldo amzawadia bondia kutoka #Cameroon Francis Ngannou saa yenye thamani zaidi ya million 200 za Kitanzania.

Kupitia ukurasa wake wa #Instagram bondia huyo ame-share video iliyoambatanishwa na ujumbe wa shukurani kwa #Ronaldo baada ya kumzawadia saa yenye thamani ya #Euro 110,000 ambayo ni sawa na zaidi ya millioni 200 za Kitanzania ikiwa ni toleo maalum linalotambulika kama 'Heart of Ronaldo'.

#Ngannou, bingwa wa #UFC, atazichapa na #TysonFury, Jumamosi hii Oktoba 28, katika pambano la raundi 10, ambapo bondia huyo atacheza pambano lake la kwanza kwenye ngumi za kulipwa.








Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags