Robertinho kuja na mpango mpya ‘mechi’ ya marudiano

Robertinho kuja na mpango mpya ‘mechi’ ya marudiano

‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya Simba,  Robertinho ameahidi kuja na mpango wa tofauti katika mchezo wa marudiano dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa kesho nchini Misri katika uwanja wa Cairo.

 Aidha ‘kocha’ huyo ameeleza kuwa anafahamu utakuwa ni mchezo mkubwa ila kuna namna ambayo ataingiza kikosi chake uwanjani kwa mipango tofauti na ilivyo kuwa katika mchezo wa nyumbani kwa kufanya mabadiliko ya wachezaji kwenye baadhi ya maeneo ili kufanikishaa kurudi na ushindi nyumbani.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags