Zuchu kuhamasisha watu kuchangia watoto Gaza

Zuchu kuhamasisha watu kuchangia watoto Gaza

Mwanamuziki wa #BongoFleva #Zuchu amejitolea kuunga mkono zoezi la kusaidia watoto #Gaza wanaokumbana na changamoto ya vita inayoendelea kati ya #Palestina na #Israel.

Kupitia #InstaStory ya msanii huyo ameweka link ya shirika la #thepcrf lilipo nchini #Palestina linalohusika na utoaji misaada mbalimbali nchini humo, na kuandika ujumbe wa kuhamasisha watu kuweza kuwasaidia watoto hao.

Ambapo shirika hilo kwasasa linachangisha pesa kusaidia watoto waliopo #Gaza ili waweze kupata mahitaji muhimu ya chakula, mavazi na matibabu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags