John afunguka kumfumania mpenzi wake na Danza

John afunguka kumfumania mpenzi wake na Danza

Muigizaji kutoka nchini #Marekani, #JohnStamos anadai kuwa aliwahi kumfumania mpenzi wake Teri Copley na muigizaji mwenzie Tony Danza.

John anadai kuwa mwaka 1980 aliwakuta wawili hao wakiwa pamoja baada ya kwenda nyumbani kwa mpenzi wake kwa siri, hata hivyo undani wa usaliti huo ameueleza kwa kina katika  riwaya yake ya ‘If You Would have Told Me’ inayo tarajiwa kutoka Oktoba 24 mwaka huu.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 60 alionekana katika tamthilia mbali mbali ikiwemo ya ‘NBC ER’ ya mwaka 2009, ‘Fox sitcom Grandfathered’ na nyinginezo.

.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags