Kama hujaalikwa kwenye ishu, usiende mwanangu. ‘Samtaimzi’ hata ukialikwa usiende pia. Unaweza kualikwa na mtu ili useme hapana, kwa ushahidi tu.Halafu tumechoka w...
Usiishi kikondoo bro. Jiunge walau na mtandao mmoja wa kijamii. ‘Kipu in tachi’ na washikaji. Kuna wana toka praymari hamjaonana, utawakuta mitandaoni.Unaweza kupa...
Picha za mwigizaji Jackie Chan zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, zimezua gumzo baada ya nyota huyo kuonekana akiwa ameota mvi kichwani na kwenye ndevu.Picha hizo alizop...
Warner Bros ambayo ni studio ya filamu na burudani nchini Kimarekani imetoa ratiba mpya ya kuachiwa kwa filamu ya The Batman Part II.Ratiba hiyo inaeleza kuwa filamu hiyo inat...
Jumba la kifahari la mwanamitindo na mwigizaji kutoka nchini Marekani Cara Delevingne (31) lateketea kwa moto usiku wa kuamkia leo, huku watu wawili wakijeruhiwa akiwemo askal...
Kampuni ya Makerlabs Edutech imezindua roboti wa kwanza mwalimu aitwaye Iris ambaye atafundisha katika shule ya Kerala, pamoja na Shule ya Sekondari ya Juu ya KTCT, Thiruvanat...
‘Timu’ ya wafanyakazi katika kampuni ya mwanamuziki Kanye West, Ye’s imeripoti kuwa zaidi ya nguo zenye thamani ya dola 1 milioni zimeibiwa kwenye ghala la n...
Mpishi maarufu ambaye alijuliakana zaidi baada ya kuvunja rekodi ya kupika kwa muda mrefu Hilda Baci anatarajia kufungua chuo cha mapishi ambapo darasa la kwanza linatarajiwa ...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Wizkid ameukataa muziki wa #Afrobeat kwa kudai kuwa yeye siyo msanii wa Afrobeat huku akipiga marufuku kwa vyombo vya habari nchini humo kup...
‘Rapa; Cardi B ameonekana kuwa mwanamke wa tofauti zaidi ya watu wanavyomfikiria baada ya kueleza kuwa yeye hayupo upande wa wanawake ambao wanawategemea wapenzi na wenz...
Muigizaji maarufu kutoka nchini Korea Oh Young-soo, ambaye alijulikana zaidi kupitia filamu yake ya ‘Squid Game’ amekutwa na hatia kwenye kesi ya unyanyasaji wa ki...
Mchezaji wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe ameripotiwa kumshtaki mmiliki wa duka linalouza kababu huko Ufaransa baada ya kutumia jina lake kwenye kutangaza biashara yake h...
Nyota wa muziki wa #bongofleva nchini Diamondplatnumz amewasihi vijana wenzake kutumia changamoto na kheri za maisha yake kama motisha ya kufanikiwa kimaisha.Diamond ameyaelez...