Mahakama nchini Afrika Kusini imemtaja mfanyabiashara, Sydney Munda Gcaba kuwa ndiye mtu aliyewalipa watuhumiwa sita wa mauaji ya aliyekuwa ‘rapa’ Kiernan Forbes, ...
Aliyekuwa mke wa zamani wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #KanyeWest, #KimKardashian ameshutumiwa kumuiga mavazi mpenzi wa sasa wa star huyo #BiancaCensori.
Shutuma hizo z...
Kipande cha mlango wa mbao kilichookoa maisha ya Rose wa filamu ya Titanic kimeuzwa kwa dola 718,750 ikiwa ni zaidi ya tsh 1.8 bilioni.
Kipande hicho kimeripotiwa kuuzwa katik...
Mwigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Will Smith ameweka wazi kuwa anapenda sana kuwa maarufu kwani unamfanya ajiskie kuwa salama zaidi.
Will ameyasema hayo siku ya Jana Ju...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #KobbieMainoo amebuka kuwa nyota wa mchezo siku ya jana katika ‘timu’ yake ya Taifa #England baada ya kucheza...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Rema (23) ameripotiwa kuwa na mpango wa kuanzisha na kujenga chuo cha muziki Barani Africa.
Chuo hicho ambacho kinadaiwa kugaharimu N20...
Mwanamke mmoja kutoka Utah nchini Marekani aitwaye Daniella amerudisha tabasamu kwa binti yake wa miaka saba aitwaye Gianessa Wride baada ya kubuni njia inayoweza kuwa mbadala...
Jengo maarufu la Kanisa liitwalo ‘Basilica La Sagrada Familia’ lililopo jijini Barcelona nchini Uhispania linatarajiwa kukamilika rasmi mwaka 2026 baada ya kujengw...
Gavana wa mji wa Florida, nchini Marekani #RonDeSantis ametia saini mswaada wa sheria ya mitandao ya kijamii nchini humo jana Jumatatu kupiga marufuku watoto walio chini ya um...
Wakati akiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kuzunguka mataifa mbalimbali mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny akiwa South Africa amekutana na shabiki wa marehemu mwigizaji...