22
Idadi ya wanaochukia tattoo walizochora yaongezeka
Kulingana na uchunguzi wa kitaifa uliyofanywa na ‘Advanced Dermatology’ kutoka Illinois, Marekani umebaini kuwa idadi ya wanaochukia tattoo walizochora yaongezeka....
22
Sio kinyonge Roma aonesha chati zake na rapa wa Marekani
Mkali wa muziki wa Hip-hop kutoka Bongo Roma Mkatoliki ameonesha mazungumzo yake na ‘rapa’ kutoka Marekani Jadakiss, kwa lengo lake likiwa ni kufanya naye kazi.Kup...
22
Mchekeshaji Eric Omondi aachiwa huru
Baada ya mpenzi wa mchekeshaji Eric Omondi, Lynne Njihia kudai kuwa polisi wamekataa kuhusika na tukio la kumkamata Omondi, hatimaye mchekeshaji huyo ameachiwa huru.Kwa mujibu...
22
Amshitaki ‘Ex’ wake kwa kutomsindikiza uwanja wa ndege
Mwanamke mmoja kutoka New Zealand, aliyetambulika kwa jina la CL amemshitaki mpenzi wake wa zamani kwa kushindwa kumpeleka (kumsindikiza) uwanja wa ndege wakati wa kusafiri.Kw...
22
Cardi B atunukiwa tuzo ya muhamasishaji bora mitandaoni
Mwanamuziki kutoka Marekani Card B ametunukiwa tuzo ya muhamasishaji bora mitandaoni katika usiku wa tuzo za ‘Hollywood Unlocked Impact Awards’ zilizotolewa siku y...
22
Kionjo cha ngoma ya Diamond na Swae Lee
Baada ya ‘Rapa’ kutoka Marekani #SwaeLee kuomba kufanya remix ya wimbo wa Diamond wa #Komasava’ aliomshirikisha Chley na Khalil Harrison, ili aweze kuingiza ...
22
Diamond azama dm kwa Jason Derulo, aomba kufanya naye ‘kolabo’
 Mwanamuziki wa Bongo Diamond amezama upande wa meseji Instagram (DM) kwa mwanamuziki kutoka Marekani Jason Derulo kwa lengo ...
21
Polisi wakanusha kumshikilia Eric Omondi
Baada ya kusambaa kwa video mitandaoni ikimuonesha mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi akiwa amedakwa na polisi, mpenzi wa mchekeshaji huyo, Lynne Njihia amedai kuwa polisi wame...
21
Eric Omondi akamatwa tena na polisi
Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa tena na polisi nchini Kenya, wakati alipokuwa kwenye maandamano yanayoendelea nchini humo ya kupinga ongezeko la kodi katika Muswada wa Fedh...
21
Lulu Diva kumpa fundisho Lavalava
Baada ya mwanamuziki Lavalava kudai kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na mwanadada Lulu Diva na kuwa kwa sasa amebaki kuwa kama dada kwake, msanii Diva amemjia juu Lavalava kwa ku...
21
Diddy afuta posti zote Instagram
Mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy Combs ameripotiwa kusafisha ukurasa wake wa Instagram kwa kufuta posti zote alizowahi ku-share kwenye mtandao huo ikiwemo video yake ya ...
21
Bondia Ryan Garcia afungiwa mwaka mmoja
Bondia wa ngumi za kuliwa kutoka Marekani Ryan Garcia amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya ngumi baada ya kuthibitika kutumia dawa iliyopigwa marufuku kabla na baa...
21
Mwigizaji Donald Sutherland afariki dunian
Mwigizaji Donald Sutherland, kutoka nchini Canada aliyejulikana kupitia filamu zake kama ‘The Hunger Games’ na ‘MASH’, amefariki dunia akiwa na umri wa...
21
Kylie Jenner alia na wanaonanga mwonekano wake
Mfanyabiashara kutoka Marekani Kylie Jenner aangua kilio kutokana na mashabiki kuunanga mwonekano wake wa sasa baada ya kufanya surgery.Kylie ameeleza maumivu anayoyapitia kat...

Latest Post