Tamasha la mwanamuziki Jay-Z liitwalo ‘Made In America Festival’ ambalo hufanyika kila mwaka mwezi Mei jijini Philadelphia nchini Marekani lapigwa chini kwa miaka ...
Baada ya kustaafu ‘soka’ mwaka jana mchezaji #MesutOzil aliyekuwa akikipiga katika ‘timu’ ya taifa ya #Ujerumani na vilabu kama #RealMadrid na #Arsenal...
Beki wa Kaizer Cheifs mwenye miaka 24, Luke Fleurs ambaye alijiunga na ‘timu’ hiyo akitokea SuperSport United Oktoba mwaka jana, amepigwa risasi na kuuawa wakati w...
Bondia wa ngumi za kulipwa Mike Tyson ambaye anatarajia kuzichapa mwezi Julai mwaka huu na bondia chipukizi Jake Paul, amefunguka kuhusu hofu yake na jinsi anavyoweza kukabili...
Baada ya nyaraka za kesi zilizofunguliwa na mtayarishaji Rodney Jones dhidi ya Diddy zikidai kuwa Party zinazofanyika nyumbani kwa Combs zimekuwa zikijikita katika biashara ya...
Mwanaume mmoja aitwaye Juan Vicente Perez Mora, kutoka nchini Venezuela ambaye pia alikuwa akishirikiria rekodi ya kuwa mwanamume mzee zaidi duniani amefariki dunia akiwa na m...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent anatarajia kurithi mikoba ya Diddy baada ya kampuni ya vinywaji ya ‘Vodka Ciroc’ kumfuta ubarozi Combs.
Kwa mujib...
Bondia maarufu kutoka nchini Uingereza #TysonFury, ameweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa nane na mkewe #ParisFury.
Fury ameweka wazi suala hilo kupitia ukurasa wake wa ...
Wakati Miss Saudi Arabia mwaka 2021, Rumy Alqahtani akitangaza kushiriki katika mashindano ya urembo ya dunia ya Miss Universe, waandaaji hao wamekanusha kuwepo kwa mwanamitin...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #TaylorSwift ameibuka kuwa miongoni mwa matajiri wakubwa duniani.Kwa mujibu #Forbes imeripotiwa kuwa mwanamuziki huyo kwa sasa anamiliki uta...
Baada ya albamu ya mwanamuziki Beyonce iitwayo ‘Cowboy Carter’ kutajwa na mashabiki kuwa ndiyo albamu bora ya mwaka 2024, sasa imemfikia mke wa aliyekuwa Rais wa M...
Mtoto wa mkali wa Hip-Hop kutoka nchini Marekani Diddy, King Combs anatarajiwa kufunguliwa mashitaka dhidi ya unyanyasaji wa kingono.
Kwa mujibu wa tovuti ya Vibe imeeleza kuw...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #KanyeWest amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mfanyakazi wake wa zamani katika shule yake ya ‘Donda’ iliyopo Los Angeles...
Baada ya kusota kwa miaka mingi katika uchekeshaji, sasa tunaweza kusema mchekeshaji na dansa maarufu nchini Tanzania Jay Mondy amejipata. Hii ni baada ya kupostiwa kwen...