14
Mr P aukubali wimbo wa Marioo
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Peter Koye maarufu kama #MrP ambaye ni mmoja katika kundi la #PSquare ameonesha kuvutiwa na wimbo mpya wa #Marioo ‘Hakuna Matata&rsquo...
13
Jaji atupilia mbali kesi ya Drake
Baada ya kuhusishwa katika kesi ya vifo vya watu 10 vilivyotokea katika tamasha la Astroworld lililofanyika mwaka 2021, hatimaye Jaji Kristen Hawkins ametupilia mbali kesi hiy...
13
Aliomba talaka kwa sababu mumewe hakuwa msaliti
Mwanamuziki kutoka nchini Brazil Caroline Lyra ambaye pia alikuwa mke wa zamani wa mchezaji Ricardo Kaka, amedai kuwa aliomba talaka kwa mumewe kwa sababu hakuwa akimsaliti wa...
13
Huu ndiyo muonekano mpya wa Asake
Tazama muonekano mpya wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Asake baada ya kupunga dread alizokuwa nazo na kubakiza nywele chache kichwani.#Asake ameachia muonekano huo kwa mar...
13
Chelsea kuuza wachezaji ili kumsajili Osimhen
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya Chelsea ina mpango wa kupiga bei mastaa wake kadhaa ili kupata Euro 200 milioni ambazo itazitumia kwenye usajili wa ‘straika&rsqu...
13
Taylor Swift akataa kulipwa tsh 23 bilioni
‘Rapa’ kutoka nchini Morocco French Montana amedai kuwa mwanamuziki na bilionea Taylor Swift alikataa kufanya show katika sherehe binafsi za Falme za Kiarabu ambap...
13
Tyrese amkumbuka Paul Walker
Mwigizaji na mwanamuziki wa R&B kutoka nchini Marekani Tyrese Gibson ameoneka kumkumbuka sana marehemu mwigizaji Paul Walker, hii ni baada ya kuangua kilio wakati alipolio...
13
J.Cole afuta ngoma ya 7 minute Drill
Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani J.Cole kumuomba msamaha Kendrick Lamara katika onesho la Dream Ville lililofanyika wiki hii, kuhusiana na kumsema vibaya Lamar kupi...
12
Burna Boy kwenye orodha ya wanaovutia zaidi
Kwa mujibu wa jarida la Essence kutoka nchini Marekani limetoa listi ya mastaa wa kiume wanaovutia zaidi huku mkali wa Afrobeat Burna Boy akitajwa kwenye orodha hiyo.Kwa mujib...
12
Hivi ndiyo viatu vyenye gharama zaidi duniani
Tumezoea kuona bei za kawaida wakati wa kwenda kununua viatu, huku baadhi ya watu wakijiwekea ukomo wa kiatu anachotaka kununua kisizidi bei Fulani. Sasa leo Mwananchi Scoop t...
12
Mimi Mars ataja sababu za kutoonekana kwenye Jua Kali
Kutokana na malalamiko ya mashabiki wa mwigizaji na mwanamuziki Mimi Mars, juu ya kutoonekana tena kwenye tamthilia ya Jua Kali, hatimaye msanii huyo ameweka wazi kwa kueleza ...
12
Ruger afunguka sababu za kuondoka Jonzing World
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Ruger amefunguka mazito kuhusiana na sababu iliyomfanya atemane na lebo yake ya zamani iitwayo ‘Jonzing World’ kwa kudai kuwa wal...
12
Mwakinyo ajutia usingizi wake
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Hassan Mwakinyo ameeleza kuwa anajutia usingizi wake huku akidai hakuna ushindi wa namna ile, hii ni baada ya kushuhudia pambano la Twaha Kid...
12
Quavo amjibu Chris Brown
Baada ya mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, Chris Brown kuachia listi ya ngoma alizoziongeza kwenye albumu yake ya '11:11’ huku ngoma yake ya ‘#Freaky’ iki...

Latest Post