Mwanamuziki wa #BongoFleva nchini #Yammi ambaye anafanya kazi chini ya lebo ya 'African Princess', ameonesha kuchoka kusubiri kutoa kazi mpya na kuamua kumkumbusha boss wake a...
Mwanamitindo mwenye umri wa miaka 21 kutoka nchini Marekani #AokiLee amekuwa gumzo katika mtandao wa X siku ya Jana, baada ya picha zake kusambaa akiwa na mpenzi wake mwenye u...
Nyota mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Malu Stonch amefariki dunia usiku wa jana baada ya kuanguka ghafla jukwaani katika ukumbi wa Target uliopo Mbezi Beach wakati aki...
Baada ya Yanga kutolewa kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns kwa mikwaju ya penalti hatua ya robo fainali, kiungo mshambuliaji wa ‘timu&rsqu...
Licha ya Davido kujizolea umaarufu na kukubalika katika mataifa mbalimbali, mkali huyo wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria anaonekana kutosahau asili yake, hii ni baada ya kuone...
‘Rapa’ na mwigizaji kutoka nchini Marekani Akon amefunguka machache kuhusiana na sakata linalo mkabili mwanamuziki Diddy la kuhusishwa na biashara ya ngono huku ak...
Bukta ya bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa Muhammad Ali maarufu kama ‘The Greatest’ aliyoivaa katika pambano lake na Joe Frazier inatarajiwa kuuzwa kiasi cha do...
Mtoto wa Diddy, aitwaye King Combs (26) ameshtakiwa kwa kumnyanyasa kingono mwanamke aliyefahamika kwa jina la Grace O'Marcaigh, tukio lililotokea St Martin mwaka 2022.Kwa muj...
Baada ya muigizaji kutoka nchini Marekani, Cole Brings Plenty (27) kuripotiwa kutoweka siku chache baada ya kutuhumiwa kwa kesi unyanyasaji na sasa polisi nchini humo wameripo...
Mkali wa afrobeat kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage ametangaza kuwa filamu yake ya ‘Water and Garri’ itaachiwa rasmi Mei 10 mwaka huu, itaruka kwa mara ya kwanza k...
Ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu waruka sarakasi maarufu kutoka nchini Tanzania Ramdhani Brothers kuondoka na taji la AGT Fantasy League mashindano ya kusaka vipaji yaliyofany...
Wanandoa kutoka nchini Ufaransa ambao hawajawekwa wazi majina yao wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na faini ya tsh 425 milioni baada ya kuwafanyia ukatili wanyama kwa...
Mwanaume wa kwanza kupandikizwa figo ya nguruwe nchini Marekani aitwaye Richard Slayman (62) ameruhusiwa kutoka hospitali, baada ya kufanyiwa upasuaji wiki mbili zilizopita ka...
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki wa Hip-hop Diddy, Cassie ameripotiwa kushirikiana na vyombo vya dola katika uchunguzi wa kesi ya biashara ya ngono inayomkabili Combs.
Kwa muji...