Foden azua hofu kwa mashabiki kukosa Euro 2024

Foden azua hofu kwa mashabiki kukosa Euro 2024

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #PhilFoden amezua wasiwasi kwa mashabiki wa Egland baada ya kurudi Uingereza kwa ajili ya kumuona mpenzi wake ambaye anatarajia kujifungua.

Inaelezwa kuwa kuwa nyota huyo amewatia hofu mashabiki ambao wanafikiri huwenda akaukosa mchezo wa hatua ya 16 bora Euro 2024 unaotarajiwa kuchezwa nchini Slovakia Jumapili hii.

Hata hivyo imeripotiwa baada ya kwenda kushuhudia kuzaliwa kwa mtoto wake watatu, Phil Foden anatakiwa kurejea kabla ya mchezo huo.

Ingawa taarifa zinadai kuwa Foden atajiunga tena na kikosi kabla ya ‘mechi’ hiyo, na hivyo kuwatuliza mashabiki wa England ambao walihofia kukosekana kwake kunaweza kuwazuia kupataushindi katika mechi hiyo ambayo ni lazima kwao.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags