Megan athibitisha ujio wa album yake mpya

Megan athibitisha ujio wa album yake mpya

Rapper kutoka Marekani #MeganTheeStallion ametangaza ujio wa album yake mpya iitwayo ‘Megani’ inayotarajiwa kutoa siku ya kesho Ijumaa June 28, 2024.

Megan amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa ku-share video akiwa amevalia nguo iliyoandikwa tarehe ya kuachiwa kwa album hiyo pamoja na jina.

Hii itakuwa Album ya tatu kutoka kwa msanii huyo tangu aanze muziki ambapo album yake ya kwanza aliitoa mwaka 2020 ya ‘Good News’ na ya pili iitwayo ‘Traumazine’ ikitoka mwaka 2022.

Megan mwenye umri wa miaka 29 amekuwa na mafanikio makubwa sana hasa kwenye Tour yake ya mwaka huu HotGirlSummer aliyoifanya katika sehemu tofauti tofauti nchini humo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags