Kuna msemo usemao kila kitu kina umuhimu wake hata kama chazamani msemo huu umejidhihirisha kutoka katika kampuni ya ‘Fab Bricks’ ambapo wamekuwa wakitumia nguo ch...
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterCity iko mbioni kumsajili mchezaji kutoka ‘timu’ ya #WolverhamptonWanderers Rayan Ait-Nouri, hii ni baada ya &ls...
Kwa mujibu wa Utafiti wa Pavel Goldstein kutoka chuo kikuu cha Colorado, Boulder, unaeleza kuwa kushikana mikono na mtu unayempena na kumjali kunauwezekano mkubwa wa kupunguza...
Baada ya kuripotiwa kuwa na bifu miezi kadhaa iliyopita, hatimaye Chino, Marioo wameonekana pamoja na kumaliza tofauti zao.
Wawili hao walionekana pamoja wakitumbuiza nyimbo a...
Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kufanyika kwa pambano la Dabi ya Kariakoo, leo kikosi cha Simba kimeanza safari kwenda Zanzibar huku kikizomewa na mashabiki wa Yanga.
Baada...
Marehemu muigizaji kutoka nchini Nigeria John Okafor (62) maarufu kama Mr Ibu anatarajiwa kuzikwa Juni 28, 2024.
Taarifa hiyo imetolewa na kaka mkubwa wa Mr Ibu, Sunday Okafor...
Mwanamuziki Rayvanny tayari amewasili nchini kutoka Kenya ambapo alienda kwenye hafla ya utolewaji tuzo za East Africa Arts Entertainment Awards 2024 (EAEA) ambapo ameondoka n...
‘Kocha’ wa #ManchesterCity, #PepGuardiola amedokeza kuwa mchezaji wao #KyleWalker anaweza kurudi uwanjani kwa ajili ya mchezo wao wa ‘ligi ya Mabingwa ...
Baada ya kumiliki magari ya thamani kwa muda mrefu ambayo hajui kuyaendesha, hatimaye mwanamuziki kutoka nchini Marekani Cardi B, ameanza kujifunza namna ya kuendesha gari aki...
Aliyekuwa mwanamitindo maarufu nchini Italia, #RobertoCavalli mwenye umri wa miaka 83 maarufu kama ‘King of leopard print’ amefariki dunia jana Jumamosi.
Cavalli a...
Imeripotiwa kuwa mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #TreySongz amemalizana na kesi yake ya unyanyasaji wa kingono ambayo ilifunguliwa February mwaka 2016.
Kwa mujibu wa Daily...
Imeripotiwa kuwa viongozi wa ‘klabu’ ya #PSG wametua nchini Italia kuitafuta saini ya mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #InterMilan, #MarcusThuram kuziba peng...
Rais wa Shirikisho la soka Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o, aitwa na shirikisho la soka Afrika (CAF) April 17 kujieleza kuhusiana na tuhuma za upangaji wa matokeo na u...