12
Quavo amjibu Chris Brown
Baada ya mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, Chris Brown kuachia listi ya ngoma alizoziongeza kwenye albumu yake ya '11:11’ huku ngoma yake ya ‘#Freaky’ iki...
12
Mwigizaji O. J. Simpson afariki dunia
Mwanamichezo wa zamani ambaye pia alikuwa mwigizaji kutoka nchini Marekani Orenthal James Simpson maarufu kama O. J. Simpson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76, baada y...
11
Pope Odonwodo afariki dunia
Baada ya kuzuka sintofahamu kuhusiana na ajali aliyoipata Mwigizaji kutoka nchini Nigeria Pope Odonwodo hatimaye imethibitika kuwa mwigizaji huyo amefariki dunia saa chake baa...
11
Rihanna: Najiona mchafu nikiwa na ASAP Rocky
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Rihanna ameeleza kuwa anajiona mchafu akiwa na mpenzi wake #A$APRocky. Rihanna amemsifia mpenzi wake huyo kwa kueleza kuwa ASAP Rocky huwa ...
11
Ufahamu wali unaodaiwa kuongeza nguvu za kiume
‘Plov’ ni wali ambao asili yake ni nchini #Uzbekistan, watu nchini humo hupendelea na kukiheshimu chakula hicho kutokana na kudaiwa kuongeza hamu ya kujamiiana has...
11
Arsenal, Chelsea kuisaka saini ya Toney
‘Klabu’ ya #Arsenal na #Chelsea zimeripotiwa kuisaka saini ya mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #Brentford na ‘timu’ ya Taifa ya #Uingereza, #Ivan...
11
Jason Derulo anaamini Diddy hana hatia
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jason Derulo amkingia kifua mkali wa Hip-hop Diddy kwa kudai kuwa mwanamuziki huyo hana hatia. Derulo ameyasema hayo wakati alipokuwa akipig...
11
Sita wakamatwa mauji ya beki wa Kaizer Chiefs
Watu sita wanadaiwa kuhusika katika kifo cha aliyekuwa mchezaji wa ‘klabu’ ya #KaizerChiefs, #LukeFleurs wamekamatwa na Polisi nchini Afrika Kusini jana Jumatano A...
11
Utafiti: Mitoko ya usiku kwa wanaume inapunguza matatizo ya afya ya akili
Kwa mujibu wa utafiti wa mwanansaikolojia kutoka Chuo Kikuu cha Oxford Dk. Robin Dunbar, unaeleza kuwa mitoko ya usiku ya wanaume ...
10
Muonekano wa mwigizaji Christian kwenye filamu mbalimbali
Ili filamu iwe na uhalisia ni lazima mwigizaji avae uhusika na kuufanya uwe maisha yake ya kila siku. Na hii ndiyo changamoto ambayo huwakuta baadhi ya waigizaji, lakini imeku...
10
Kamera za nini mnapoenda kutoa misaada
Kitaa kinasema siku hizi ukitaka kusaidiwa kubali kuonekana kwenye mitandao ya kijamii, kuwa umepokea msaada.Zile mbwembwe wanazofanya wakienda vakesheni na bebe zao, ndizo wa...
09
Drake adai muziki wa Hip-hop hautakuwa na amani
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Drake amedai kuwa muziki wa Hip-hop hautakuwa na amani hata siku moja nchini humo. Drake ameyaeleza hayo wakati alipokuwa kwenye mue...
09
Huyu ndiye siri wa kwenye Iphone
Imekuwa kawaida kwa watumiaji wa iPhone kuhitaji baadhi ya usaidizi kutoka kwa Siri, kama vile kumuuliza maswali. Hivyo basi kutana na Susan Bennett, ambaye ndiye mwenye sauti...
09
Burna Boy afikisha stream bilioni 1.1 Sportify
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, #BurnaBoy ameendelea kuupiga mwingi kupitia mtandao wa Sportify na sasa ameripotiwa kufikisha zaidi ya stream bilioni 1.1 kupitia album yake...

Latest Post