Saido Ntibanzokiza apewa ‘thank you’ Simba

Saido Ntibanzokiza apewa ‘thank you’ Simba

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibanzokiza amepewa mkono wa kwaheri baada ya kuwatumikia wekundu hao wa Msimbazi kwa misimu miwili.

Saido ameondoka Simba akiwa ndiye kinara wa mabao wa timu hiyo msimu wa 2023/24 ambapo alipachika mabao 11, ndani ya msimu wake wa kwanza Msimbazi 2022/23 akifunga mabao 17.

Saido ni mchezaji wa pili Simba kupewa ‘thank you’ baada ya John Bocco ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya vijana ya Simba chini ya miaka 17.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags