Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel ameamua kuwatolea uvivu wanaosema mkewe mbaya.Kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa ‘komenti’ Kizz amekuwa akiw...
Ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni, wakati baadhi ya watu wakitumia mvinyo uliotengenezwa na zabibu kwa ajili ya kujiburudisha, fahamu kuwa wapo wanaotumi mvinyo uliote...
Mwanamuziki Kanye West ambaye kwa sasa anatamba na albumu ya ‘Vultures’ amepanga kuja Africa kwa ajili ya usikilizaji wa albumu yake kwenye Piramid za Saqqara nchi...
Post ‘Rapa’ kutoka Marekani Lil Wayne na Post Malone wanatuhumiwa kuidanganya Serikali nchini humo kupitia mradi wao wa kufundisha vijana kuacha kutumia madawa ya ...
Show ya ‘rapa’ Nicki Minaj iliyotakiwa kufanyika jana Machi 18, New Orleans, Marekani ambayo ni muendelezo wa ziara yake imeghairishwa kutokana na mwanamuziki huyo...
Mwanamuziki kutoka nchini Colombia Shakira amekanusha uvumi unaodai kuwa aliachana na aliyekuwa mpenzi wake, mwanasoka Pique kwa sababu ya usaliti.Kupitia mahojiano yake na #T...
Mwanamuziki kutoka South Africa, Tyla tayari ameachia listi ya nyimbo ambazo zipo kwenye albumu yake ambapo mwanamuziki Tems pamoja na Travis Scott wakiwa ni miongoni mwa wasa...
Kumekuwa na baadhi ya mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikionesha baadhi ya watu kutofurahia malipo ya kiingilio yanayotolewa kwenye matamasha ya muziki wa injili. Kutokana ...
Kuna kitendawili kisemacho nampiga mwanangu nalia mwenyewe, jibu lake kitungu, kitendawili hiki kimetokana na tabia ya tunda hilo ambalo wakati wa kulikata hupelekea mkataji k...
Na Michael OneshaMsongo wa mawazo ni hali ya shinikizo la kiakili au kihisia linalotokana na mahitaji yanayofikiriwa. Kila siku tunakabiliwa na hali nyingi ngumu ambazo viumbe...
Niaje niaje wanangu sana, I hope mko guudi kabisa, leo sitowachukulia muda wenu kwa sababu najua wengi wenu mtakuwa mmefunga so manahitaji kupewa vitu laini laini, Leo kwenye ...
Mambo vipi watu wangu wa nguvu mwezi Machi umekuwa wa kipekee, swaumu zimetaradadi kila kona, bila kuwachosha mwezi huu mzima nitakusogezea tips mbalimbali za chakula, ambazo ...
Imekuwa desturi kwa mwanamuziki kutoka Canada, Drake kutoa maokoto kwa mashabiki wake kama zawadi, sasa amemzawadia shabiki yake ambaye ni mjamzito dola 25,000 sawa na tsh 63....