15
Afya ya bondia Coleman yazidi kuimarika
Baada ya kuripotiwa kuwa katika hali mbaya kutokana na kunusurika kwenye ajali ya moto, familia ya bingwa wa zamani wa UFC Mark Coleman, imeripoti kuwa mkali huyo kwa sasa ana...
15
Ceo wa Tiktok ajibu muswada wa marufuku mtandao wake Marekani
Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa TikTok Shou Zi Chew amewataka watumiaji wa mtandao huo kupinga sheria ambayo inaweza kusababisha kupigwa marufuku matumizi ya TikTok nchini M...
15
Kanye West hashikiki Spotify
Ikiwa ni wiki kadhaa tangu kuachiwa kwa albumu ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Kanye West, ya ‘Vultures 1’ ambayo ameshirikiana na ‘rapa’ Ty Dol...
14
Tyson aanza kujifua kwa pambano lijalo
Baada ya kutangaza kuingia ulingoni Julai 20, mwaka huu, bondia wa ngumi za kulipwa kutoka nchini Marekani, Mike Tyson (57) tayari ameingia #Gym kwa ajili ya kuanza mazoezi ya...
14
Tyla aachia kionjo cha ngoma yake mpya
Mwanamuziki kutoka South Africa, Tyla ameachia kionjo cha ngoma yake mpya ambayo itakuwa katika album yake inayotarajiwa kutoka Ijumaa ya tarehe 22 mwaka huu.Kupitia ukurasa w...
14
Titanic ya pili mbioni kutengenezwa
Bilionea maarufu kutoka nchini Australia, Clive Palmer (69) ameripotiwa kutaka kutengeneza meli mfumo sawa na Titanic iliyozama mnamo mwaka 1912 ikiwa na zaidi ya watu 2,200, ...
14
Wapenzi wafungia ndoa chooni
Wapenzi kutoka Kentucky nchini Marekani waliotambulika kwa majina Logen Abney na Tiana Ailstock wamebeba vichwa vya habari vingi nchini humo baada ya kufunga ndoa chooni.Ndoa ...
14
Dr. Dre kutunukiwa nyota ya heshima, hollywood walk of fame
Producer na ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Dr. Dre anatarajiwa kutunukiwa nyota ya heshima kwenye Hollywood Walk of Fame Machi 19, mwaka huu katika Jengo la Hollywo...
14
Bondia Ryan adai anamjua aliyemuua Tupac
Bondia kutoka nchini Marekani itwaye Ryan Garcia amedai kuwa anamjua mtu aliyehusika katika mauaji ya kifo cha ‘rapa’ Tupac.Kupitia ukurasa wake wa X ali-share uju...
14
Shah Rukh Khan amchezesha kihindi Ed Sheeran
Wakati akiendelea na ziara yake ya kuzunguka katika mataifa mbalimbali mwanamuziki kutoka Halifax, West Yorkshire, Ed Sheeran sasa yupo nchini India na tayari amekutana na mui...
14
Aliyekuwa akipumulia mashine kwa miaka 72 afariki dunia
Aliyekuwa mwanasheria ambaye amekuwa akipumulia mashine ya mapafu kwa zaidi ya miaka 70 aitwaye Paul Alexander amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 78, Machi 11 mwaka huu.Ta...
13
Cowboy Carter ndiyo jina la albumu ya Beyonce
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Beyonce tayari amefichua jina la album yake mpya ambayo inatarajiwa kuachiwa mwishoni mwa mwezi huu aliyoipa jina la ‘Cowboy Carter&rs...
13
Primeboy akamatwa tena, kisa kifo cha Mohbad
Rafiki wa karibu wa marehemu mwanamuziki Mohbad kutoka nchini Nigeria, Primeboy, amekamatwa tena na polisi baada ya kutajwa kuhusiaka katika kifo cha Mohbad.Kwa mujibu wa vyom...
13
Fahamu kazi ya mistari iliyopo kwenye pini za earphone
Imekuwa jambo la kawaida kukutana na mtu akiwa amevaa earphone masikioni mwake kwa ajili ya kuzuia sauti anayosikiliza isisikiwe na wengine. Lakini wakati wa ununuzi wa vifaa ...

Latest Post