Huduma za Internet nchini Pakistan zimezuiwa kwa muda kuhofia ugaidi wakati wa zoezi la uchaguzi linaloendelea leo nchini humo kufuatiwa na upinzani mkubwa wa vyama viwili vya...
Kampuni ya utengnenezaji vifaa vya chooni ‘TwoDaLoo Company’ miaka ya 1991 ilivumbua wazo la vyoo viwili ‘double toilet’, kwa ajili ya wapendanao.
Wazo...
Baada ya ‘timu’ ya taifa ya Nigeria kuifunga Afrika Kusini na kutinga katika Fainali za #AFCON mashabiki wa ‘Super Eagles’ wameonesha utani wao kwa kui...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Nicki Minaj kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share kionjo cha ngoma yake ambayo ameifanya na mkali wa #Afrobeat kutoka Nigeria, ...
Baada ya kufanya ‘kolabo’ ya ngoma yake inayotrend kupitia mitandao ya kijamii ya ‘Dah’ na Alikiba mwanamuziki Nandy ameweka wazi kuwa msanii kutoka nc...
Kama tunavyojua hakuna jambo kubwa kama kuwa hai, katika kuhakikisha uhai wao unaendelea, nyoka aina ya ‘Eastern hognose snake’ wanaopatikana zaidi Amerika ya Kusi...
Aisha Charles
Hii ni special kwa ajili yako wewe msomaji wa magazine ya Mwananchi Scoop kama kawaida tumekutana tena katika segment ya Fashion ili kuweza kujua yale ambayo yat...
Bara la Afrika na dunia nzima linasubiri kuona ‘timu’ mbili zitakazoingia kwenye msururu wa mwisho wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON 2023 huku &lsquo...
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria Ayra Starr ameweka wazi kuwa mama yake mzazi amemwambia aanze kuvaa nguo ndefu.
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani twitter) mwanamuziki huyo ...
Tumezoea kuona wachoraji wakitumia mkono wa kulia ama kushoto kuchora picha lakini kwa mrembo #Rajacenna van Dam, maarufu kama Rajacenna ameendelea kuwavutia wengi kupitia mit...
Furaha ndiyo kila kitu kwa maisha ya mwanadamu. Tunatafuta pesa ili kujenga furaha. Tunataka uongozi bora ili tuwe na furaha. Tunaoa, kuolewa na watu sahihi ili tuishi kwa fur...
Imekuwa kawaida baadhi ya watu, kusahau sehemu ambayo wameacha simu zao. Jambo hili huumiza kichwa zaidi ikiwa simu imewekwa ‘silent’, kwani hata mmiliki aki...
Wakati mvua zikinyesha Bongo baadhi ya wamiliki wa magari huacha majumbani kwao na kutumia usafiri wa umma kutokana na kuhofia magari yao kuharibika kufuatiwa na maji kujaa ba...