Mwanadada Onika Tanya Maraj, maarufu Nicki Minaj amekuwa rapa wa kwanza wa kike kufikisha streams bilioni moja kwenye mtandao wa Spotify.Minaj ambaye ni mzaliwa wa nchi ya Tri...
Kiungo wa Juventus, Paul Pogba amefungiwa miaka minne kujihusisha na soka baada ya kukutwa na hatia ya kutumia dawa za kuongeza nguvu.Pogba ambaye amewahi kuwa mchezaji ghali ...
Ikiwa imepita siku moja tangu jeshi la polisi nchini Afrika Kusini kutangaza mbele ya waandishi wa habari kuwa limewakamata watu sita wanaotuhumiwa kwa mauaji ya rapa, Kiernan...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Fireboy DML, ameukosa muziki wa #Afrobeat kwa kudai kuwa muziki huo hauna mtiririko mzuri wa uandishi baada yake unabebwa na ‘vaibu&rsq...
Mjengo wa kifahari wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Travis Scott ulioko Brentwood jijini Los Angeles upo hatarini kuanguka, kutokana na ufa mkubwa ulioonekana kwen...
Mwanamieleka kutoka nchini Marekani, Michael Jones ‘Virgil’ afariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 baada ya kusumbuliwa kwa ugonjwa wa saratani ya utumbo kwa muda...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West, inaonekana amechoshwa na watu kutumia jina lake la zamani la Kanye na badala yake kuwataka watumie jina jipya la kisheria...
Tunajua umeshazoea kutembelea katika hotel zenye vivutio mbalimbali vya aina yake lakini sijui kama unafahamu kuhusiana na hotel hatari zaidi duniani ambayo ipo katikati ya ba...
Kampuni ya Apple imeripotiwa kusitisha utengenezaji wa gari la umeme lililokuwa likitengenezwa kwa zaidi ya miaka kumi iliyopita.Apple ilitoa taarifa hiyo siku ya jana Jumanne...
Kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya umeme kutoka nchini China 'Lenovo' kupitia kongamano lake la hivi karibuni imezindua kompyuta (PC) aina ya ‘Transpare...
Baada ya uchunguzi kufanyika kwa takribani mwaka kufuatiwa na kifo cha ‘rapa’ AKA hatimaye polisi nchini Africa Kusini imetoa taarifa ya kuwakamata watu sita ambao...
Nyota wa muziki wa Bongo Fleva Diamondplatnumz amekuwa msanii wa kwanza Afrika mwenye ngozi nyeusi kufikisha wafuasi milioni 8.66 kapitia mtandao wa YouTube.Mafanikio hayo yan...
Kampuni maarufu inayojihusisha na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali ya Adidas iko mbioni kuzindua toleo maalumu la viatu vya marehemu mkali wa reggae kutoka Jamaica Bob Marley...