Tyler Perry amuomba radhi William Ruto

Tyler Perry amuomba radhi William Ruto

Mwandishi na Mwigizaji kutoka Marekani Tyler Perry amuomba radhi Rais wa Kenya William Ruto baada ya Rais huyo kutembelea katika studio zake na kutoonana na mwigizaji huyo.

Tyler Perry kupitia ukurasa wake wa Instagram ali-share ujumbe huo wa kumuomba radhi Rais Ruto kwa kueleza kuwa hakuwepo studio kwake kutokana na ratiba ngumu alizokuwa nazo kwa siku hiyo na hakukua na uwezekano wa kubadilisha ratiba yake.

Aidha aliendelea kwa kumshukuru na kumuheshimisha, kwa kufika katika studio zake huku akiahidi kusafiri hadi Kenya kwa ajili ya kuonana na Rais William Ruto






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags