Baada ya kununua jumba la kifahari kwa dola 35 milioni kwenye kisiwa cha Star kilichopo Miami nchini Marekani mwaka 2023, ‘rapa’ Rick Ross ameripotiwa kufanya mare...
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ameachia picha kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa na breach kichwani akijiandaa na ‘Pacome Day’ mchezo unaotarajiwa kuchezwa s...
Usiku wa kuamkia leo mfanyabiashara na dada wa mwanamuziki Diamond, Esma Platnumz alifunga ndoa na mpenzi wake Mwanamuziki, na Meneja Jembe One, ndoa iliyofungwa katika msikit...
Baada ya ku-share taarifa kuhusiana na kudai kuwa amedhurumiwa tsh 7 milioni na Rayvanny pamoja na Director Erick Mzava, na sasa mwanamuziki huyo amedai kuwa amepata mualiko k...
Kinda wa Tanzania, Harrith Chunga Misonge aliyepo Russia anakoshiriki mashindano ya Games of the Future amekutana na staa wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Russia, Andr...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #AlNassr, # Cristiano Ronald amezua mijadara kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amepaka rangi kucha za miguu, hali iliyopelekea ...
Ukuaji wa teknolojia unazidi kushangaza wengi ambapo kwa sasa binadamu amefanikiwa kupandikizwa chipu kwenye ubongo kwa ajili ya kutumia kompyuta kwa kuwaza tu.
Ni siku chache...
Bondia wa zamani na promoter kutoka nchini Marekani #LoydMayweather ameangua kilio baada ya kumkumbuka msaidizi wake wa kazi za nyumbani aliyefariki mwaka jana akiwa na umri w...
Nyota wa zamani wa Brazil, Dani Alves amehukumiwa kwenda jela miaka minne na nusu kwa kosa la ubakaji, hukumu hiyo iliyosomwa Leo Februari 22 katika Mahakama iliyopo nchini Hi...
Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Argentina Lionel Messi ameonesha kuwa uhusiano wake na ‘klabu’ yake ya zamani ya Barcelona hauwezi kuvunjika, baada ya k...
Manchester United huenda ikamkosa beki wake wa kushoto, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu kutokana na majeraha ya misuli. Shaw alipata majeraha hayo kwenye ‘mechi’ dh...
Mtoto wa ‘rapa’ Kanye West, North West amefanikiwa kuingia kwa mara ya kwanza kwenye chati za Billboard 100, kufuatiwa na ngoma aliyoshirikishwa na Baba yake ya &l...
Muongozaji video, Erick Mzava amekanusha madai ya kumtapeli mwanamuzi Kayumba akisema amesharudisha sehemu ya fedha kiasi cha Shilingi 7 milioni ambazo alipewa kwa ajili ya ku...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini #Nigeria, #Davido ametangaza kuwa atachangia Naira milioni 300 ambazo ni sawa na tsh 500 milioni kwenye vituo vya watoto yatima vilivyopo nchin...