Ayra: Nilinunua nyumba kwanza baada ya kupata maokoto

Ayra: Nilinunua nyumba kwanza baada ya kupata maokoto

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa kitu chake cha kwanza kununua baada ya kupata pesa ya kutosha alinunua nyumba ya ndoto zake.

Ayra ameyasema hayo wakati akiwa kwenye moja ya mahojiano yake ambapo alieeleza kuwa alivyopata mkwanja wa kutosha kitu cha kwanza kikubwa kununua kilikuwa ni nyumba iliyopo jijini Lagos nchini humo.

Hata hivyo mwanadada huyo alifunguka matamanio yake kwa sasa ni kununua na kumiliki gari aina ya ‘Rose Gold G-Wagon’.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags