Squid Game 2 kutoka Desemba 2024

Squid Game 2 kutoka Desemba 2024


Mwigizaji na mtengenezaji wa filamu kutoka Korea Kusini, Lee Jung-jae ameweka wazi kuwa filamu ya Squid Game msimu wa pili inatarajiwa kuoneshwa kwa mara ya kwanza Desemba 2024.

Netflix haijathibitisha rasmi tarehe kamili ya kutolewa kwa filamu hiyo Lee ambaye pia ni mmoja wa waigizaji aliweka wazi suala hilo huku akidai kuwa katika msimu huu basi mashabiki watarajie kuwaona wahusika wengi wanao wakubali.

Ikumbukwe kuwa msimu wa kwanza wa filamu hiyo ilionesha na Netflix kwa mara ya kwanza Septemba 2021 ikiongozwa na Mkurugenzi wa filamu, na mwandishi Hwang Dong-hyuk.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post