50 Cent ahamia kwa Jay-Z

50 Cent ahamia kwa Jay-Z

Mwanamuziki kutoka Marekani 50 Cent sasa ameamua kuhamia kwa mkali wa hip-hop nchini humo Jay-Z akidai kuwa msanii huyo ameamua kutulia nyumbani mpaka mambo yatakapokaa sawa.

50 ameamua kuzungumza haya kutokana na skendo zinazo mkabili Diddy za kuhusishwa kwenye biashara za ngono ambapo inafahamika kuwa Combs ni rafiki wa karibu wa Jay-Z.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa 50 ameandika kuwa “Jay akiwa amejificha hatoki nje hadi hali hii itakapo kuwa sawa, hakuna chakula cha mchana wala hakuna chakula cha jioni. LOL”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags