‘Rapa’ 50 Cent anadai kuwa msanii Kendrick Lamar, amestahili kuchaguliwa kuongoza show ya Super Bowl Halftime inayotarajiwa kufanyika Februari mwaka 2025 jijini Ne...
Mwanamuziki wa Marekani 50 Cent amefunguka kuhusiana na suala lake la useja (kuwa single) huku akiweka wazi kuwa amefanya makosa mengi sana lakini hajafikiria kufanya kosa la ...
Mwanamuziki wa Marekani 50 Cent ameweka wazi sababu ya kutokuwa na meneja hadi leo, huku akidai kuwa ni kheri kutoa kiasi kikubwa kwa mawakili kuliko kutoa pesa zake kwa ajili...
‘Rapa’ kutoka Marekani 50 Cent amefurahia kushinda kesi iliyokuwa ikimtaka kulipa Sh 2.6 Trillioni hii ni baada ya kudaiwa kuiba stori ya muuza madawa ya kulevya a...
Mkali wa Hip-hop Marekani 50 Cent, aonekana kufurahishwa na video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha ‘rapa’ Rick Ross akishambuliwa nchini Canada.
Kupitia ukurasa ...
Filamu iliyoandaliwa na 50 Cent kuhusu madai ya unyanyasaji wa kingono yanayomkabili Diddy, iitwayo ‘Diddy Do It?’ inatarajiwa kuoneshwa katika mtandao wa Netflix ...
Mwanamuziki kutoka Marekani 50 Cent sasa ameamua kuhamia kwa mkali wa hip-hop nchini humo Jay-Z akidai kuwa msanii huyo ameamua kutulia nyumbani mpaka mambo yatakapokaa sawa.5...
Baada ya siku ya juzi mawakili wa mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy kuomba mahakama kufuta baadhi ya kesi kutokana na kesi hizo kuwa za uongo, kijana wa Combs, King Combs...
‘Rapa’ kutoka Marekani 50 Cent amemshitaki mpenzi wake wa zamani aitwaye Daphne Joy kwa kumshutumu hadharani kuwa aliwahi kumfanyia unyanyasaji wa kimwili.
Kwa muj...
Baada ya ‘rapa’ Kendrick Lamar kutoa ngoma kwa mpigo kwa ajili ya Drake, mwanamuziki huyo naye amejibu mashabulizi hayo kwa kutoa ngoma mpya siku ya jana iitwayo &...
Rapa kutoka nchini Marekani 50 Cent ameingilia bifu la msanii Chris Brown na Quavo kwa kusema bifu hilo linaingia katika hatua mbaya ambayo itaenda kuharibu biashara ya muziki...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent anatarajia kurithi mikoba ya Diddy baada ya kampuni ya vinywaji ya ‘Vodka Ciroc’ kumfuta ubarozi Combs.
Kwa mujib...
Baada ya ‘rapa’ 50 Cent kugundua kuwa mzazi mwenziye Daphne Joy kuwa alikuwa akilipwa pesa kwa ajili ya kutoa huduma za kingono kwa Diddy, 50 ameripotiwa kudai hak...
Baada ya mkali wa Hip-Hop kutoka nchini Marekani Diddy, na 50 Cent kutokuwa na maelewano mazuri kwa kipindi cha muda mrefu hatimaye imedaiwa kuwa bifu la wawili hao limetokana...